Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

BREAKING NEWS: Waziri wa Elimu wa zamani, Joseph Mungai amefariki Dunia

Aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu Tanzania, Joseph Mungai amefariki dunia jioni hii, taarifa za awali kwa mujibu wa kituo cha television cha ITV  zinasema amekutwa na umauti baada ya kuanza kutapika mfululizo, familia imedia kuwa tatizo hilo limemkuta baada ya kudaiwa kula kitu kibaya.
millardayo.com & Ayo TV zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo. R.I.P Joseph Mungai. Taarifa hii ni kwahisani ya Millard Ayo

No comments