Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

HIZI NDIO TAKWIMU ZA WATANI WAJADI KATI YA SIMBA NA YANGA KATIKA HISTORIA LA SOKA LA TANZANIA BARA TANGU IANZISHWE MWAKA 1965

Kwa kifupi Timu hizo zimekutana mara 96 toka kuanza kwa Ligi ya Tanzania Bara 1965 na Yanga kushinda mara 36 huku Simba ikishinda mara 28 na Mechi 32 walitoka ‪#‎Sare‬!
Jumla ya ‪#‎Mabao‬ 196 yamefungwa na Yanga ikifunga Magoli 105 wakati Simba wakifunga Magoli 91!
@‪#‎Yanga‬:
Hii ndo timu ya Kwanza kushinda katika pambano la watani wa Jadi toka Kuanza kwa Ligi ya Tanzania 1965 misimu miwili mfululizo!

Yanga ndo ya Kwanza Kuibamiza Simba magoli 5~0 mwaka 1968!
Pia ya kwanza Kushinda misimu 5 mfululizo ilipofanya hivyo msimu wa 1981~1986 na kushinda mechi 12 na Ikarudia tena kushinda mechi 12 mfululizo 1996~1999!
(b)‪#‎Simba‬:
Hii ndo Timu ya Kwanza Kushinda Ligi ya Bara kwa kuchukua Kombe mfululizo 1965 ~1966!
Simba ndo Timu ya Kwanza Kuibamiza Yanga 6~0 mwaka 1975 kabla ya Kurudisha ‪#‎deni‬ la Mwaka 1968 kwa kuibamiza tena Yanga goli 5~0 miaka ya Karibuni !

Simba ndo Timu ya kwanza Kuitandika Yanga ‪#‎misimu‬ 7 na mechi 15 mfululizo toka mwaka 2001~ 2008!
Mpaka Sasa ni Mchezaji mmoja tu Aliyewahi kufunga goli Tatu (Hat trick) kwenye mechi moja ya ‪#‎watani‬ hao wa Jadi naye ni Abdallah ‪#‎Kibaden‬(#SIMBA)mwaka 1975!
Mwisho ya mwisho walioyokutana jana Yanga imewafunga watani wao wa jadi 2-0, mabao ambayo yamefungwa na Ngoma pamoja na Tambwe.
Kihistoria inaonekana Yanga bado wababe kwa Simba.

No comments