Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Mahakama Kuu yatoa maamuzi juu ya Ubunge wa Ester Bulaya

Leo November 16, 2016 Kesi ya kupinga matokeo ya Ubunge wa Ester Bulaya iliyofunguliwa na wapiga kura wa jimbo la Bunda dhidi ya aliyekua mgombea wa CCM Stephen Wasira imetolewa huku yake ambapo Mahakamu Kuu imempa ushindi na kumthibitisha Ester Bulaya kuwa Mbunge halali.
Maamuzi hayo yametolewa na Jaji Noel Chocha wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kwenye hukumu ya kesi iliyosomwa kwa takribani masaa manne huku Jaji huyo akiyataja mapungufu yaliyopelekea kuona kesi hiyo haina msingi ikiwemo kupungua kwa wafungua mashtaka kutoka 12 mpaka kubakia wawili.
whatsapp-image-2016-11-18-at-2-49-14-pm whatsapp-image-2016-11-18-at-2-49-24-pm
0498e267-f5f5-4f7d-80c7-b75a5856ccd3
Taarifa kamili zitakujia hivi punde hapa hapa mloweziswakala.blogspot.com na kwenye kurasa zetu za Facebook na Instagram .
source: Millard Ayo

No comments