Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Malalamiko ya Simba kuhusu matusi ya Jerry Muro

February 25 mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Haji Manara ameingia kwenye headlines baada ya kuamua kuweka wazi lililo moyoni mwake na kumtuhumu afisa habari wa klabu ya Dar Es Salaam Young African Jerry Muro kuwa anawatolea maneno ya kashfa na matusi viongozi wa Yanga.
Manara ameingia kwenye headlines baada ya kukaa kimya muda mrefu, kwa kile alichouwa anakiamini kuwa shirikisho la soka Tanzania TFF watamchukulia hatua za kidhamu kama walivyoahidi “Kubwa lililonifanya niwaite waandishi, ni kuhusu malalamiko ya Simba  kwa matusi, kejeli, dharau na majigambo yasio na lazima ya msemaji wa Yanga (Jerry Muro), lakini TFF hawajachukua hatua yoyote, ila sasa Simba tunasema tutachukua hatua kama TF wasipo mchukulia hatua” bofya hapa umsikilize manara

No comments