"HUYU SI MHALIFU BALI NI MSHINDI WA KWANZA MASHINDANO YA MBIO ZA BAISKELI-TABORA"
Hakuwa
ni mhalifu kama anavyoonekana kushikwa na askari Polisi hao bali ni
mshindi wa kwanza katika mashindano ya Baiskeli yaliyofanyika katika
uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Sikukuu
ya Wafanyakazi Mei Mosi ambapo mshindi huyu alipitiliza kiwango cha
kuzunguuka uwanja huo kwakuwa walitakiwa wazunguuke mara 30 lakini
alipitiliza na kuhitaji azunguuke zaidi ya mara 50 ndipo akazuiliwa huku
akiwa amewashinda wenzake zaidi ya 45 waliokuwa wameshiriki mashindano
hayo
No comments