UBAGUZI WA RANGI HAUKUBARIKI.
HII NI ISHARARA TOSHA WAAFIRIKA TUMECHOSHWA NA KITENDO CHA MASHABIKI WA MPILA WA MIGUU ULAYA KUWABAGUA WACHEZAJI WAAFRIKA NA WENYE ASRI YA AFRIKA AMA NGOZI NYEUSI KUBAGURIWA KWA KUFANANISHWA NA NYANI NA KURUSHIWA NDIZI HIKI KITENDO KIMETUKASILISHA SANA WATU WEUSI KWA KITENDO ALICHO FANYIWA ALVES MCHEZAJI WA BACELONA SHILIKISHO LA MPIRA WA MIGUU DUNIANI LIMCHUKULIE HATUA NA KUMUADABISHA SHABIKI ALIYE MRUSHIA NDIZI ALVES ILI WENGINE WASIFANYE UJINGA.
No comments