Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

ALICHOKISEMA JERRY MURO KUHUSIANA NA MABADILIKO YA LATIBA.


                                                     Msemaji wa yanga Jerry Muro
"Ratiba tuliyo nayo inaonyesha kwamba kesho kulitakiwa tucheze dhidi ya JKT Ruvu lakini hawa wenzetu kwa matakwa yao wamebadilisha ratiba pasipo kutuhusisha hii kwetu tunaichukulia kama hujuma,"amesema Muro.
"Tumewaambia tangu jana kama wameufuta mchezo wa kesho na badala yake wakaupeleka Machi 11 Yanga hatutakuja uwanjani kwakuwa huo sio uzalendo hatuwezi kuacha maandalizi ya mechi yetu ya kimataifa tarehe 14 au 15 machi kuangalia mechi ya ligi.

No comments