Baada ya kudaiwa kumdiss Diamond Platnumz, Belle 9 kayaandika haya…!
Ni masaa machachetu tangu kusambaa kwa ujumbe ulioandikwa kupitia Instagram account ya staa wa bongo fleva Belle 9 ikionyesha kumdiss staa mwenzake bongoflevani Diamond Platnumz, ujumbe wenyewe ulisomeka hivi>>>
Lakini kupitia account yake hiyohiyo, Belle 9 akaandika ujumbe huu mwingine uliosomeka,>>>
‘#Samaqhani ndugu watanzania kwa usumbufu uliojitokeza ,samahani sana kwa mwanamuziki mwenzangu@Diamondplatnumz #emailmnayoiona
hapo juu ndio ya hacker aliekua anapost na kutukana watu ,tunaenda
kureport na kama kuna mtu anaweza kutusaidia kuitrack hii email
tunamuomba msaada wake…..asante sana @Kingkapita@kapitatechnologylimited kwa kunisaidia kurudisha account yangu #Mungu akubariki #polesana kwa niliowakwaza‘
No comments