Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Unakwenda kazini kwa kutembea, kupanda basi au kuendesha gari?


Unakwenda kazini kwa kutembea, kupanda basi au kuendesha gari? Bw. Frantisek Hadrava mwenye umri wa 45 kutoka Zdikov, Czech anakwenda kazini kwa kuendesha ndege aliyotengeneza mwenyewe.
Alitumia miaka miwili na Euro 3700 kutengeneza ndege yake. Ndege hii inatumia lita 6 za petroli kwa saa, na mwendo kasi wa juu ni kilomita 125 kwa saa. Umbali kati ya nyumba yake na kampuni ni kilomita 15, akiendesha ndege atafika kampuni kwa dakika 7 tu.

No comments