Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

EXCLUSIVE PICHA 11:Gari ya luxury anayotembelea mtanzania Thomas Ulimwengu anayeichezea TP Mazembe

Ripota wa millardayo.com na Ayo TV bado naendelea kukusogezea na kukusanyia exclusive stori kutoka Lubumbashi DRC Congo ulikochezwa mchezo wa mwisho wa Kundi A Kombe la shirikisho barani Afrika kati ya TP Mazembe dhidi ya Yanga, baada ya mchezo kumalizika kwa TP Mazembe kumkosa nyota wake kutokea Tanzania Thomas Ulimwengu anayesumbuliwa na majeruhi, Ayo TV ilipata nafasi ya kufanya nae interview kuhusu soka na maisha binafsi.
1
Moja kati ya vitu ilivyopewa nafasi millardayo.com kuviona na kuomba kupiga picha ni gari anayotembelea staa huyo, Thomas akiwa Lubumbashi DRC Congo huwa anapenda kutembelea gari yake ya luxury aina ya Chrysler Crossfire, aina hii ya gari ni gari ambayo ina uwezo wa kubeba watu wawili tu ikiwemo na dereva, millardayo.com inakuletea picha 11 za muonekano wa gari ya Ulimwengu anayopenda kutembelea.
DSC_2677
DSC_2678
DSC_2684
DSC_2686
DSC_2687
DSC_2690
DSC_2665

No comments