Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Pichaz 5 za Francis Cheka alivyopeleka mkanda wake wa ubingwa kwa waziri Nape

March 4 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Nnauye kwa pamoja na bondia mtanzania Francis Cheka walifanya mkutano na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wizarani na Cheka kuwashukuru watanzania na serikali kwa sapoti anayopata.
DSC_8128
Cheka na Waziri Nape wakiongea na waandishi wa habari
Baada ya Cheka kushukuru na kumkabidhi Mh Nape mkanda wake wa Ubingwa aliompiga bondia wa Serbia Geard Ajetovic katika viwanja vya Leaders, mwishoni mwa mwezi February, Mh Nape alimkabidhi cheti Francis Cheka kwa niaba ya wizara.
DSC_8138
Cheka na Waziri Nape baada ya kupokea mkanda
DSC_8142
Cheka akikabidhiwa cheti na Waziri Nape
DSC_8130
Francis Cheka mwenye cheti na waziri Nape na mdogo wa mdogo wake Francis anaitwa Cosmas Cheka pamoja na Rais wa TPBO Yassin Abdallah Ostadhi nyuma ya Cheka na Nape

No comments