List ya msafara wa Yanga utaokwenda kuikabili APR Kigali Rwanda klabu Bingwa Afrika
Klabu ya Dar Es Salaam Young Afrika
March 12 itacheza mchezo wake wa kwanza wa raundi ya pili ya michuano ya
Klabu Bingwa barani Afrika utakaochezwa siku ya Jumamosi ya March 12
Kigali Rwanda. March 9 Yanga wametaja list ya majina ya wachezaji 20 na
viongozi wengine watakaosafiri kwenda Rwanda kwa ajili ya mechi hiyo.
No comments