Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Meya wa jiji la Dar es Salaam amepatikana leo March 22, 2016..nina video ya sekunde 15 hapa

Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulichukua headlines siku zilizopita baada ya wananchi kuwa na hamu ya kumfahamu meya mapema, sasa leo march 22, 2016 hatimaye Diwani Isaya Mwita kupitia vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) ameibuka kidedea kwenye uchaguzi huo baada ya kuishinda CCM iliyopata kura 67, huku UKAWA wakipata kura 84, ambapo kura 7 ziliharibika.