Ni kweli Dogo Janja kauponda uongozi wake wa Tiptop? Maamuzi ya Madee ni yapi

Kwenye 255 ya Clouds fm leo Feb 19 2016, ni pamoja na hii ya Dodo Janja
kudaiwa kulalamika ananyanyaswa na kunyimwa nafasi na Uongozi wake, hii
ni baada ya kusambaa kwa sauti inayodaiwa kuwa ni ya Dogo Janja
akimtongoza mwanamke na baadae kuanza kufunguka mambo kuhusu Management
yake ya Tiptop.
leo Perfect amezungumzana Madee kuhusu tuhuma hizo na maamuzi gani wameyafikia baada ya kuenea oflevanews Ajali Rais Magufuli
leo Perfect amezungumzana Madee kuhusu tuhuma hizo na maamuzi gani wameyafikia baada ya kuenea oflevanews Ajali Rais Magufuli
No comments