Maveterani wampinga rais Mugabe
Maveterani wampinga rais Mugabe

Polisi nchini
Zimbabwe wamewarushia mabomu ya kutoa machozi pamoja na maji ya kuwasha
kwa lengo la kuzuia maandamano yaliyopangwa na maelfu maveterani wa
zamani wa kivita mjini Harare.
Rais Mugabe ambaye alitimiza umri wa miaka tisini na miwili siki hii, pamoja na pendekezo hilo, Grace Mugabe amesema kwamba mpaka sasa matarajio ya kuwa rais ingawa inaonekana dhahiri kwamba yeye ndiye mwenye nafasi kubwa ya kuwa mgombea wa nafasi hiyo.
Makama wa rais wa sasa nchini humo Emmerson Mnangagwa anatajwa kuwa ndiye chaguo la vyama vya upinzani nchini humo na hata ndani ya chama tawala cha ZANUPF na anamashiko kwa wapigania uhuru walio wengi wa Zimbabwe
No comments