Picha 10 kutoka Arusha, Rais Magufuli kwenye magwanda ya kijeshi…

Stori kuhusu safari ya kwanza ya Rais Magufuli kwenda
Arusha kwa mara ya kwanza tangu amekuwa Rais najua tayari watu wengi
tunayo kwa sababu hiyo ilikuwa ni jana January 22 2016.
Hiyo inakuwa safari ya tatu mtu wangu,
nakumbuka aliwahi kwenda Dodoma kwenye ufunguzi wa Bunge mwisho wa mwaka
2015, alafu akaenda Zanzibar kwenye sherehe za Mapinduzi January 2015,
Arusha ni safari yake ya tatu nje ya Dar !!
Hizi hapa pichaz zake akiwa kwenye sare za kijeshi, ziara yake Arusha inahusu pia shughuli ya kuwatunuku Kamisheni ya Uofisa Maofisa wateule wa Jeshi katika Chuo cha Kijeshi TMA, Monduli.









No comments