Saa chache zimebaki kusherehekea Krismas lakini kwingine imepigwa marufuku!!
Najua wakristo wengi duniani wanahesabu saa chache kuifikia December 25,
siku ambayo inasherehekewa sikukuu ya Christmas kila mwaka... kama na
wewe umejiandaa vizuri na sherehe hiyo basi nikutakie heri mtu wangu,
lakini stori ina kichwa cha habari tofauti kutoka Somalia. Serikali ya
Somaliaimepiga marufuku sherehe za christmas kwa siku ya kesho
No comments