Kama umepanga kusafiri sikukuu, nina picha 20 na kinachoendelea stendi ya mabasi Ubungo

Ikiwa
tuanelekea mwishoni mwa mwaka 2015, kuna mengi yanakuwa yakiendelea
katika msimu huu ambapo pia baadhi ya watu hupendelea kwenda makwao
kwaajili ya kuwasabahi ndugu na jamaa. Lakini hali imekuwa tofauti
kidogo leo Dec 23 2015 katika kituo cha mabasi Ubungo Terminal Dar es salaam
mara baada ya baadhi ya abiria kukwama kusafiri kutokana na kukosa
usafiri kwa kile kinachoarifiwa kwamba ni uchache wa magari huku
wasafiri wakiwa ni wengi.
No comments