IGM TECHNOLOGY LTD
IGM Technology L.T.D ni kampuni ambayo inahusika na mamboya technology
ya habari na mawasiriano kama vile kudizaini system, computer repairing
na maintenance , pia computer supplying, design graphics , stationaries ,
kufundisha computer, network designing, video editing namengine
yanayohusiana na tehama.
Kwamawasiliano piga 0785274003, 0767274003, 0715774003. simu itapokelewa
Mlowezi swakala na atakupa maelekezo.
Tupo kibamba ccm dar es saam karibu na chuo cha uandishi wa habari cha
Dar es salaam city collage
No comments