Haya ni Maisha mengine ya kocha Jose Mourinho nje ya soka…

Mourinho pamoja na muda wake mwingi kuutumia katika soka lakini pia ni baba wa watoto wawili na muda mwingine anaoupata huutumia na familia yake…





Aliingia kwenye kashfa ya kuwa na uhusiano na msichana kutoka Kenya ,Lelesit Silvana baada ya kutembelea nchi hiyo 2010

source: Millard Ayo
No comments