MAMIA JIMBO LA MTAMA WAHAMA CCM
#Habari:Aliyekuwa
mgombea wa kura za maoni kupitia chama cha mapinduzi jimbo la mtama
SELEMANI METHEW amekihama chama hicho na kuondoka na wana CCM wapatao
miasaba na 4 na kuhamia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa
kile anachodai hakutendewa haki katika mchakato mzima wa kura za maoni.
No comments