Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

BAYERN YATHIBITISHA KUMSAINI ALONSO!

MABINGWA wa Bundesliga Bayern Munich wamethibitisha kumsaini Kiungo wa Real Madrid Xabi Alonso kwa Dau linalokisiwa kuwa Euro Milioni 10.XABI_ALONSO Alonso, mwenye Miaka 32, sasa ataichezea Bayern hadi Mwaka 2016 baada ya kusaini Mkataba wa Miaki Miwili. Jumatano, Alonso alitangaza kustaafu kuichezea Timu ya Taifa ya Spain. Kiungo huyo mahiri amekuwa na Mabingwa wa Ulaya Real Madrid kwa Miaka Mitano sasa baada ya kujiunga hapo kutoka Liverppol. Pengine Alonso ameikimbia Real baada ya Klabu hiyo kuwanunua Viungo Toni Kroos kutoka Bayern na James

No comments