MANUEL PELLEGRINI AICHEZEA AKILI LIVERPOOL,ANASEMA MAN CITY WANAWEZA KUSHINDA TAJI,LAKINI NINI KINAENDELEA JUU YA SAMIR NASRI ?)
Manuel Pellegrini alifanya moja ya jaribio la mwisho kwa kuiweka njia panda kwa pressure timu
ya Liverpool kwa kudai kuwa Liverpool wamepoteza uongozi wa ligi kuu.
ya Liverpool kwa kudai kuwa Liverpool wamepoteza uongozi wa ligi kuu.
Meneja huyo wa
Manchester City pia alisisitiza wachezaji wake - ikiwa ni pamoja na
Samir Nasri, ambaye alipatiwa tiba kidogo ya kawaida katika uwanja wa
mazoezi wa Carrington -kuwa wanaamini bado wanaweza kubadili matokeo na
kuitoa Liverpool katika uongozi wa ligi kuu.
Nini kinaendelea hapa? Samir Nasri anapata matibabu katika uwanja wa Carrington huku Manuel Pellegrini akimuangalia.
City
imeonekana kukosa nafasi baada ya kupoteza katika uwanja wa Anfield na
kufuatia kuwa na matokeo ya mshtuko kwa kutoka sare ya nyumbani dhidi ya
Sunderland, lakini Pellegrini anasisitiza bado yuko katika mawindo.
No comments