Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

BREAKING: Waziri wa elimu kasimamisha kazi watu wanne bodi ya mikopo Tanzania

Ni habari kutoka kwa Waziri wa elimu Profesa Joyce Ndalichako ambaye leo February 16 amemsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo kuanzia leo na kuwasimamisha pia Wakurugenzi wengine watatu kutoka bodi ya mikopo.
Yote hii imetokana na ukaguzi maalum uliofanyika katika bodi hiyo na kugundua mapungufu makubwa kwenye usimamizi wa fedha kwenye bodi hiyo.

No comments