Tanzania yapangwa kundi moja na Uganda kufuzu AFCON 2019
Tanzania imepangwa kundi L linalojumuisha timu za Uganda, Cape Verde na Lesotho.
Mshindi wa kila kundi katika makundi 12 atafuzu kwa fainali hizo za mwaka 2019 zitakazofanyika nchini Cameroon.
Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa mwezi wa sita mwaka huu kati wiki inayoangukia tarehe 9-13
No comments