Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Waziri Kitwanga atwangwa na Magufuli Ulevi wamponza.

May 20 2016 habari zilizoingia katika headlines ni maamuzi ya Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli kuamua kutengua uteuzi wa wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.
Rais Magufuli amemfuta waziri Kitwanga kutokana na waziri huyo kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa.
barua
Source: Millard Ayo

No comments