Picha 8 za Mwanzo kwenye Baraza kuu la Chadema Mwanza…

Leo march 12 2016 Baraza kuu la Chadema linafanya mkutano wa kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Mwanza kwenye vikao vya ndani pamoja na kujadili masuala ya Chama, hapa nimezipata picha za mwanzo kwenye tukio.


Aliyekuwa Mgombea Urais Edward Lowassa akienda kuchukua nafasi

Viongozi wa kitaifa Chadema wakiingia ukumbini

Naibu Katibu wa Chadema Salum Mwalimu na Ezekia Wenje


Aliyekuwa Mgombea Urais Chadema Edward Lowassa na Baraza lake


Mbunge wa Mikumi Joseph Haule na watu wake

No comments