Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Mfahamu Mtanzania anayecheza soka Uingereza aliyekuja kuitumikia Taifa Stars (+Video)

Adi Yussuf ni mtanzania anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili Uingereza kwenye klabu ya Mansfield Town. Adi pia amekulia katika klabu ya Leicester City ila kwa sasa yupo Tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Chad wa kuwania kufuzu michuano AFCON 2017 Gabon.
“Ni kweli mwanzo ilikuwa ngumu kwa klabu yangu ya Mansfield Town kuniruhusu nije Tanzania kwa sababu ilikuwa tunahitaji kupandisha timu, ila sasa wameniruhusu nije kuchezea timu yangu ya taifa” >>> Adi Yussuf
Zaidi angalia exclusive interview yake aliyofanya na Ahmed Ally mwandishi wa Star Tv

No comments