Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Ushindi ni wa Mtanzania Mbwana Samatta Tuzo za mabingwa wa soka Afrika

Usiku wa kuamkia January 08 2016 najua kuna Watanzania ambao macho na masikio yao yalielekezwa Nigeria ambako zilikuwa zinatolewa Tuzo za wakali wa soka Afrika.
Good news ni kwamba staa wa soka ambaye amekiongoza kikosi cha TP Mazembe kufanya vizuri michuano ya Afrika, Mtanzania Mbwana Samatta amefanikiwa kuibuka na ushindi wa Tuzo ya mchezaji bora wa soka Afrika mwaka 2015 kwa wachezaji wanaochezea Afrika.
Hapa nina nukuu ya Tuzo mbalimbali zilizotolewa kwa wakali wa soka 2015.

No comments