Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

PONGEZI KWAKO MH RAISI DR JPM KWA UAMZI SAHIHI KUHUSU KUFANYA USAFI SIKU YA SIKUKUU YA UHURU

PONGEZI KWA RAIS MAGUFULI ,
Tunaipongeza sana hatua ya Rais John Magufuli kuitangaza siku ya kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika mwaka 2015 kuwa siku ya kufanya usafi nchi nzima.
Taarifa kutoka sehemu mbalimbali za nchi zinaonyesha jinsi wananchi wallivyoitikia na kutekeleza mwito huu uliotolewa Rais. Sio siri kuwa miji na makazi yetu vilikuwa katika hali mbaya sana. Hapo usiseme masoko. Kumbe wa-Tanzaia wako tayari ilimradi awepo Kiongozi madhubuti wa kusimamia maneno anayosema. HONGERA SANA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Pamoja na haya ni vyema viongozi wetu katika ngazi mbalimbali za utawala wakalifanya zoezi hili kuwa endelevu.Na kila mwananchi anakila sababu ya kulifanya hili zoezi kuwa endelevu kuanzia ngazi ya familia, hakika tukiwajibika ipasavyo ngonjwa la kipindu pindu litatokomezwa daima,.
Hapa kazi t

No comments