Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Pichaz kutoka kwenye Mkutano wa Mgombea Urais wa CCM, Dk John Magufuli, hii ni Lindi October 12.

Ziara za Wagombea nafasi za Urais kwenye mikoa mbalimbali ya Tanzania bado zinaendelea, Vyama vinaendelea kubadilishana Majukwaa ya Kampeni Mkoa kwa Mkoa.
Kwa upande wa Mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Magufuli October 12 2015 ilikuwa ni zamu ya Lindi, katika Viwanja vya Sokoni Majengo.
27
Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mama Salma Kikwete akihutubia wakazi wa Lindi mjini waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni za uliofanyika kwenye viwanja vya Mpilipili.
22
17
Mgombea ubunge jimbo la Mtama, Nape Nnauye akihutubia mbele ya Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika kwenye viwanja vya Sokoni Majengo
12
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi kitabu cha ilani ya CCM mgombea ubunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye kwenye mkutano wa kampeni za CCM 
7
Mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Mtama mkoani Lindi 
9
11
Source: Millard Ayo

No comments