Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Wasanii wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi kwenye Hip Hop ni…? Wajue wote hapa!

Jambo la wasanii wa muziki wa Hip Hop Marekani kutambia utajiri wao si kitu cha kushangaza sana, tumekuwa tukiwasikia wakisema hivyo kwenye jukwa mbalimbali za show, kwenye interviews na pia kwenye video zao za muziki.
Sean "Diddy" Combs arrives at The Weinstein Company & Netflix after party after the 71st annual Golden Globe Awards in Beverly Hills, California, January 12, 2014. REUTERS/Danny Moloshok (UNITED STATES - Tags: Entertainment)(GOLDENGLOBES-PARTIES)
P Diddy
Sasa orodha ya Forbes ya wasanii wa Hip Hop wenye mkwanja mrefu zaidi imetoka, Forbes Hip-Hop Cash Kings 2015 imewataja wasanii 20 ambao kwa utafiti wao ndio wanaoingiza mkwanja mrefu zaidi kwa mwaka huu… tatu bora imeongozwa na wasanii 3, P Diddy ambaye kwa mwaka anaingiza si chini ya dola milioni 60, akifuatiwa na Jay Z kwa dola Milioni 56 na Drake ambaye amepanda toka nafasi ya nne mwaka jana kuingia ya 3 akiwa aningiza kiasi cha dola Milioni 39 kwa mwaka.
Hapa chini ninayo orodha ya majina 20 ya wasanii walioingia kwenye Forbes Hip Hop Cash Kings 2015.
Sean "Diddy" Combs arrives at The Weinstein Company & Netflix after party after the 71st annual Golden Globe Awards in Beverly Hills, California, January 12, 2014. REUTERS/Danny Moloshok (UNITED STATES - Tags: Entertainment)(GOLDENGLOBES-PARTIES)
1. Diddy: $60 million
jay2
2. Jay Z: $56 million.
drake
3. Drake: $39.5 million
1/7/2009 Las Vegas Nevada, CES -- Dr. Dre, record producer/rapper shows off his new headphones. Note- Mike Snider is writing something on this. Photo by Tim Loehrke, USAToday (Via MerlinFTP Drop)
4. Dr. Dre: $33 million
BEVERLY HILLS, CA - FEBRUARY 10: Singer/songwriter Pharrell Williams attends the 86th Academy Awards nominee luncheon at The Beverly Hilton Hotel on February 10, 2014 in Beverly Hills, California. (Photo by Kevin Winter/Getty Images)
5. Pharrell: $32 million
eminem
6. Eminem: $31 million
kanye
7. Kanye West: $22 million
wiz
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
nicki
9. Nicki Minaj: $21 million
birdman
10. Birdman: $18 million
pitbull
11. Pitbull: $17 million.
wayne
12. Lil Wayne: $15 million
ken
13. Kendrick Lamar: $12 million
MONTREAL, QC - AUGUST 02: J. Cole performs on Day 2 of the Osheaga Music and Art Festival on August 2, 2014 in Montreal, Canada. (Photo by Mark Horton/WireImage)
13. J. Cole: $11 million
snoop
14. Snoop Dogg: $10 million
ross
16. Rick Ross: $9 million
Tech
17. Tech N9ne: $8.5 million.
luda
18. Ludacris: $8 million
T.I2
19. T.I.: $6 million.
Macklemore20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million

No comments