Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Nimekusogezea hii List ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu zaidi duniani…Pichaz

Moja ya miundombinu inayorahisisha usafirishaji ni pamoja na uimara wa madaraja, China ni miongoni mwa Mataifa makubwa duniani ambapo uchumi wake unazidi kukua pamoja na miundombinu yake..ndiyo nchi pekee inayoongoza kwa miundombinu ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa ubora duniani.
Hapa ninayo hii list ya madaraja yaliyovunja rekodi kwa urefu duniani…

1
1. Danyang Kunshan Grand Bridge-China

2
2. Tianjin Grand Bridge-Beijing China

3
3. Weinan Weihe Grand Bridge-China

4
4. Bang Na Expressway-Thailand

5
5. Beijing Grand Bridge-China

6
6. Lake Pontchartrain Causeway-USA

7
7. Manchac Swamp Bridge-China

8
8. Yangcun Bridge-China

9
9. Hangzhou Bay Bridge-China

10
10. Runyang Bridge-China

source: millard Ayo

1 comment :