Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

TAZAMA PICHA ZA COUNTINHO AKISHANGILIA BAADA YA KUFUNGA GOLIZIDI YA SHABA HAPO JANA.

Mshambuliaji wa timu ya Yanga kutoka Brazil Countinho, akishangilia bao lake alilofunga katika kipindi cha pili dakika ya 86 ya mchezo huo akiwa na Mchezaji mwezake kutoka Laiberia wakishangilia bao, Timu ya Yanga imeshinda bao 1--0, dhudi timu ya Shaba Wazee wa Dago kutoka Micheweni Pemba.
Wachezaji wa Yanga Countinho, Mrisho Ngasa na wa mwisho Saimon Msuva, wakishangilia bao lao la ushindi katika kundi lao wakiwa washindi wa kwanza katika kundi lao bila ya kufungwa.
Coutihno akishangila bao lake la tatu katika michuano ya Kombe la Mapinduzi. Timu ya Yanga ikimaliza michezo yake bila ya kufungwa mchezo wake wa mwazo imeifunga Taifa ya Jangombe mabao 4--0, Ikaifunga Polisi bao 4--0, na leo imeifunga timu ya Shaba bao 1--0, usiku huu katika uwanja wa Amaan Zanzibar.

No comments