Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

BREAKING NEWZZ: WALE TRAFIK WALIOFUKUZWA KAZI BAADA YA KUPIGA PICHA YA KIMAHABA WARUDISHWA KAZINI: SOMA HAPA===>

Polisi mahaba waliofukuzwa kazi kwa kosa la kunyonyana ulimi warudishwa kazini kwa agizo la IGP. Inasemekana hakuna sheria yeyote inayokataza watumishi wa serikali au askari kuwa na uhusiano wa kimapenzi kazini na sio kosa kutongoza au kuwa na mpenzi sehemu yako ya kazi ili mradi usilazimishe wala kutumia cheo chako kumshawishi mtu kimapenzi. Kwa maana hiyo askari aliyeisambaza ile picha ndiyo amepewa onyo kali kwa kosa la kuharibu faragha ya wenzake

No comments