Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

BINTI ABAKWA HADI KUFA BAADA YA KUDAI KUWA MIZENGO PINDA HAWEZI KUWA RAIS WA TANZANIA

Kati ya mambo makubwa leo katika mitandao ya kijamii hasa Facebook na Twitter ni taarifa ambazo mimi pia nimezipokea kwa mshangao na masikitiko makubwa, ni taarifa kuhusu mauaji ya mwanadada Bettie Ndejembi ambaye amefariki baada ya kubakwa hadi kupoteza fahamu. Marehemu aliokotwa kwenye mtaro akiwa amefanyiwa vitendo vya kikatili na akiwa hajitambui Wengi wadai mitandao ya kijamii (hasa Facebook, Twitter na Instagram) inatumiwa visivyo na walio wengi Kabla ya kupoteza uhai wake Betty alikutana na manyanyaso makubwa kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo alitukanwa matusi mazito ya nguoni. Inasemekana chanzo cha matusi hayo ni kauli ya marehemu kwamba alidaiwa kusema Pinda hawezi kuwa Rais wa Tanzania. SOURCE: rahabongo blog