Baada ya kuchezea kichapo cha nguvu dhidi ya A.madrid katika nusu
fainali ya uefa leo chelsea imedhihilisha wazi kuwa msimu huu sio wa
kuchukua mataji kama kocha wao alivyosema siku za nyuma mara baada ya
kutoka sare tasa na norwich siku ya leo katika uwanja wao wa nyumbani.
No comments