Taarifa zilizoripotiwa kutokea mgodini Geita
kuhusu Wachimbaji 15 waliofukiwa na kifusi cha udongo kwa zaidi ya siku
tatu zinasema kwamba wachimbaji hao wote 15 wameokolewa wakiwa hai na
utaratibu mwingine wa huduma ya kwanza unaendelea, picha za tukio ndio hizi
BREAKING: Picha 13 za uokoaji kwa waliofukiwa mgodini Geita
Reviewed by
Unknown
on
4:03 AM
Rating:
5
No comments