Meya wa jiji la Dar es Salaam amepatikana leo March 22, 2016..nina video ya sekunde 15 hapa
Uchaguzi wa Meya wa jiji la Dar es Salaam ulichukua
headlines siku zilizopita baada ya wananchi kuwa na hamu ya kumfahamu
meya mapema, sasa leo march 22, 2016 hatimaye Diwani Isaya Mwita kupitia
vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi (UKAWA) ameibuka kidedea
kwenye uchaguzi huo baada ya kuishinda CCM iliyopata kura 67, huku UKAWA
wakipata kura 84, ambapo kura 7 ziliharibika.
No comments