Mwezi mkubwa kuliko miezi yote katika mfumo wetu wa Jua ni ’Ganymede’. Mwezi huo ni mkubwa kuliko hata sayari ya Utaridi (Mercury) ’Ganymede’ ambao ni moja kati ya miezi mingi ya Mshtarii (Jupiter) una kipenyo (diameter) cha kilomita 5,268, ukiuzidi ukubwa wa Mercury kwa asilimia nane (8%)
Je Wajua?
Reviewed by
Unknown
on
7:43 AM
Rating:
5
No comments