Uzuri mwingine wa haya majengo usikupite mtu wangu..Pichaz
Leo tena nakusogezea tena hizi nyumba zilizonivutia kutokana na muonekano wake wa kipekee.
6. Palais Ideal du Facteur Cheval – Ni moja ya majengo ya Makumbusho lililopo Ufaransa, lilijengwa mwaka 1879
10
St. Mary Axe – London, hili ni moja ya majengo yaliyopo katikati ya
jiji la London ambapo kuna ofisi za watu, lilijengwa kwa mfano wa tango
11.
Kingdom Tower – Ni jengo lililopo katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia,
ni miongoni mwa majengo marefu duniani, lilijengwa kwa gharama ya dola
bilioni 1.2
13.
Cathedral of our Lady of Aparecida – Hili ni jengo la kanisa ambalo
lipo Brazil, lilijengwa miaka ya 1946 hadi 1980, hupokea watalii milioni
10 kila mwaka, huchukua watu zaidi ya 70,000 na lina ukubwa wa mita
12,000
No comments