Pichaz za Simba walivyojiandaa kuikabili Mbeya City Jumamosi hii
Weekend hii Ligi Kuu soka Tanzania
bara inaendelea kwa michezo kadhaa kupigwa katika viwanja tofauti
tofauti, miongoni mwa michezo ambayo inatazamiwa kuwa na ushindani
mkubwa ni mchezo kati ya Mbeya City dhidi ya Simba, mechi ambayo itapigwa katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.
Naomba nikusogezee picha za mazoezi ya Simba wakiwa jijini Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo. Simba wakiwa na kocha wao muingereza Dylan Kerr na msaidizi wake Selemani Matola wameendelea na mazoezi ya kukinoa kikosi chao kuelekea mchezo huo utakaochezwa Jumamosi ya October 17 uwanja wa Sokoine Mbeya.
No comments