DEO FILIKUNJOMBE "ATUNAYE TENA...!!!!!"
Kwa mujibu wa Jerry Slaa, Mgombea ubunge jimbo la Ukonga
jerrysilaa:
"Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la ajiali na kukuta abiria wote na rubani wamepoteza maisha.
Nimepoteza Baba na rubani mzuri wa nchi yetu Capt.William Silaa,nimepoteza rafiki na kiongozi wangu Mhe.Deo Filikunjombe. Nawapa pole wote waliopoteza ndugu zao. Nawaombea marehemu mapumziko ya Amani."
DEO FILIKUNJOMBE
Binafsi nimeshitushwa na taarifa hii lakini yote tumuachi mwenyezi Mungu ingawa sisi tuliwapenda ila Mungu kawapenda zaidi, nawapa pole wananchi wa jimbo la ludewa nami niko pamoja nao wakati huu mugumu pamoja na wale wote walio poteza ndugu zao kwenye hii ajali mungu awatie nguvu.

No comments