Tupashane Habari 24-hours

Tupashane Habari 24-hours

Breaking News

kampa kampa tena

Ifahamu wavuti ya dalalika inahusika na mambo gani




Kuhusu Mimi. Maelezo zaidi bofya hii link, http://www.dalalika.co.tz


Arrow
Arrow
Shadow
Mimi ni kijana wa kitanzania jinsia ya kiume mwenye umri wa 24 kama Mtanzania nimechunguza na kubaini shida ambazo watanzania wenzangu wanapata kutokana na ukosefu au ujuzi wa  kwenda na teknolojia ya habari. Hivyo basi kwa namna moja ama nyingine nimekuja na wazo la kuanzisha wavuti na mfumo utakaomwezesha mtembeaji kuweka taarifa zake na kurahisisha zoezi la kupangisha, kuuza, au kununua viwanja, nyumba, vyumba katika jamii yetu.

No comments